uhuru katika mawazo
kila binadamu anahitaji uhuru katika mawazo.hurka halisi ya mwanadamu ni furaha pale mawazo yake yanapoata kibali mqachoni pa wanandamu wenzake .uhuru wa kimawazo kwa tafsiri nyingine ni kwamba ,mtu anakuwa huru kutumia mawazo yake kama zawadi kutoka kwa mungu .ndugu yangu ,,tafuta kupata uuhuru wa kimawazo katika maisha.ni jambo la hatari mno pale unapo kosa utashi huu wa kimawazo .
matatizo yatokanayo na kukosa uhuru wa kimawazo,
tembelea link chini hapo kupata habar zaid
www.jamiiforum.com
tambua ..mwangaza na mwongozo wa akili yako ni kutambua kwamba una taa imulikayo maishani mwako'..tumia maarifa na mawazo kwa utashi mkubwa na usiruhusu kutawaliwa kimawazo,. chagua kuwa huru kimawazo
matatizo yatokanayo na kukosa uhuru wa kimawazo,
- msongo wa mawazo
- dissapointment
- depression