am going to complete my website production

Wednesday, 14 June 2017

uhuru wa kimawazo

uhuru katika mawazo 

kila binadamu anahitaji uhuru katika mawazo.hurka halisi ya mwanadamu ni furaha pale mawazo yake yanapoata kibali mqachoni pa wanandamu wenzake .uhuru wa kimawazo kwa tafsiri nyingine ni kwamba ,mtu anakuwa huru kutumia mawazo  yake kama zawadi kutoka kwa mungu .ndugu yangu ,,tafuta kupata uuhuru wa kimawazo katika maisha.ni jambo la hatari mno pale unapo kosa utashi huu wa kimawazo .

            matatizo yatokanayo na kukosa uhuru wa kimawazo,

  • msongo wa mawazo
  • dissapointment
  • depression 
matatizo mengine kama pressure yatakuja kutokana na msongo wa mawazo.

tembelea link chini hapo kupata habar zaid

www.jamiiforum.com


   tambua ..mwangaza na mwongozo wa akili yako ni kutambua kwamba una taa imulikayo maishani mwako'..tumia maarifa na mawazo kwa utashi mkubwa na usiruhusu kutawaliwa kimawazo,.  chagua kuwa huru kimawazo

        uwe na siku njema


No comments:

HAVE YOU TRY THIS,try now things will change

                             THE WAY To manage your time and achieve your goal                                         prepared by kelvin...